MFUMO WA BIASHARA ZA WI-FI • 2026

Biashara yako ya Wi-Fi.
Iendeshe kiotomatiki.

MedTech inakusaidia kusimamia malipo, vifurushi, wateja, vocha na MikroTik kutoka sehemu moja — huku wateja wako wakijilipia na kupata huduma papo hapo.

WiFi Portal

Kutoka Malipo Hadi Internet — Kiotomatiki

Mteja hahitaji kupiga simu. Kila kitu kinafanyika kwa haraka na usalama mtandaoni.

01

Connect Wi-Fi

Mteja ana-connect Wi-Fi yako mtaani.

02

Chagua Kifurushi

Anaona vifurushi vinavyopatikana na kuchagua.

03

Lipa Kwa Simu

Anaingiza namba na kulipa kupitia simu yake.

04

Thibitisha

Mfumo unapokea malipo kwa wakati halisi.

05

Auto-Login

Mteja anaunganishwa internet automatically!

Vifaa Vyote Unavyohitaji Kuendesha Biashara ya Wi-Fi

Mfumo mmoja, dashibodi moja, uwezo usio na kikomo.

Smart Billing

Simamia mauzo na malipo kwa urahisi. Jua ni vifurushi vipi vinauza zaidi kila siku.

Online Payments

Wateja wako wajilipie moja kwa moja kupitia mitandao ya simu bila kukusumbua.

Auto-Login

Baada ya malipo kuthibitishwa, mteja anaunganishwa bila kupewa vocha kwa mkono.

Usimamizi wa Biashara Yako,
Sehemu Moja.

Dashibodi iliyoundwa mahususi kwa wamiliki wa biashara za Wi-Fi (ISPs).

MedTech Full Dashboard

* Mfano wa mwonekano wa mfumo kwa ndani. Takwimu ni za mfano.

WiFi Portal

Rahisisha Safari ya Mteja Wako

Mteja hahitaji kupiga simu, kusubiri vocha au kuwasiliana na wewe kila anapotaka kununua muda wa Internet. Mpe uhuru wa kujihudumia.

  • Chagua kifurushi mtandaoni

    Wanaona orodha ya vifurushi moja kwa moja kwenye simu zao.

  • Lipa kwa simu (Mobile Money)

    Mfumo unaomba PIN kwenye simu ya mteja kiotomatiki.

  • Pata Access & Tumia Internet

    Malipo yakithibitishwa tu, wanaunganishwa bila kuandika password (Auto-Login).

Anza Leo

Gharama Zetu

Chagua mpango (plan) unaoendana na uhitaji wa biashara yako ya Wi-Fi.

PRO

Kwa anayeanza biashara ya Wi-Fi (Manual).

TZS 15,000 / Mwezi
  • Hadi routers: 3
  • Hadi wateja: 150
  • Voucher management
  • Basic reports
  • Online payments
  • Auto-Login
Chagua Kifurushi Hiki
Most Popular (Inapendekezwa)

ENTERPRISE

Kwa biashara inayotaka automation (kujiendesha yenyewe).

TZS 20,000 / Mwezi
  • Hadi routers: 10
  • Hadi wateja: 1,000
  • Online payments (Malipo ya simu)
  • Auto-Login kwa wateja
  • Advanced Business Reports
  • Live sessions & monitoring
Chagua Kifurushi Hiki

Maswali Yanayoulizwa Sana

Pata majibu ya maswali yako haraka.

1. MedTech inafanya kazi na MikroTik?

Ndio, MedTech imeunganishwa moja kwa moja na MikroTik API. Utasimamia router yako kutokea kwenye dashboard ya MedTech.

2. Je, wateja wanaweza kujilipia wenyewe?

Ndio. Kama unatumia kifurushi chenye "Online Payments", mteja ataingiza namba yake ya simu na kulipia mtandaoni kwa urahisi.

3. Je, Auto-Login inafanyaje kazi?

Baada ya malipo ya mteja kuthibitishwa na mtandao wa simu, mfumo unatengeneza vocha nyuma ya pazia na kumuunganisha mteja kwenye Internet moja kwa moja (Bila yeye kupewa namba yoyote).

4. Je, ninaweza kutumia routers zaidi ya moja?

Ndio, unaweza kuunganisha na kusimamia routers nyingi tofauti (Kutoka maeneo tofauti/Multi-site) kwenye akaunti yako moja ya MedTech.

5. Je, naweza kusimamia biashara yangu nikiwa mbali?

Ndio, MedTech ipo mtandaoni (Cloud-based). Unaweza kuingia kwenye dashboard yako ukiwa mahali popote duniani kutumia simu au kompyuta yako.

6. Je, mfumo unafanya kazi masaa 24/7?

Ndiyo. Mfumo upo hewani muda wote kuruhusu wateja wako kununua vifurushi wakati wowote, hata usiku wa manane.

7. Nikibadilisha package yangu ya MedTech, data yangu itapotea?

Hapana, data zako zote (Wateja, mapato, routers) ziko salama na hazitapotea unapobadilisha (upgrade) kifurushi.

Uko tayari kuendesha biashara yako ya Wi-Fi kwa njia ya kisasa?

Anza kutumia MedTech na wape wateja wako njia rahisi ya kulipia na kupata Internet huku wewe ukidhibiti biashara yako kutoka sehemu moja.